Afrique
Sous catégorie
"Nilipomaliza chuo kikuu, degree yangu ya kwanza nilikuwa mwanafunzi Bora darasani"- Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka #PBCloudsFM #Tumekuverify
Live kutoka Mikocheni, Jijini Dar es Salaam: Tupo na Mwanasiasa aliyeitumikia Taifa kwa miaka mingi ambaye kwa sasa Degree za Heshima 12. Na Degree Tatu za darasani, jumla 15. Ni mama; Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka. Yapo mengi anatujuza hapa! Tucheki Live kupitia YouTube channel yetu #CloudsMedia Cc: @thebestfetty @officialcza #PBCloudsFM #Tumekuverify
Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka akielezea kuhusu mikataba mibovu! #PBCloudsFM #Tumekuverify
BAHATI NYINGINE KWENYE BONGOFLEVA, TANZANIA KUHODHI TUZO ZA HAPA
R KELLY AIOMBA MAHAKAMA ITUTILIE MBALI KESI YAKE, ATOA SABABU ZAKE
MARIOO ATANGAZA KUTOTOA MUZIKI KABISA MWAKANI, BALAA HILI NDIO CHANZO
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #xxl ya cloudsfm
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #leotena .
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #leotena .
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #hiligame.
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha PowerBreakfast
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #leotena
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #leotena
JAY MELODY ALIVYOTIBU MIOYO YA MALKIA WA NGUVU ARUSHA BAADA YA KUKIWASHA DAR ES SALAAM
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #HiliGame
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #PowerBreakfast
DOGO JANJA ALIVYOWA SUPRISE MA MALKIA WA NGUVU ARUSHA, UKUMBI WAIMBA NAE
MTAALA MPYA WA KIDATO CHA TANO KUHAIRISHWA | MABADILIKO KATIKA ELIMU INASAIDIA WANAFUNZI KUJITEGEMEA
Hata sisi tumesikia hilo tangazo la kuhairisha kwa utekelezaji wa mtaala mpya ni mtaala ambao umeandaliwa tangu mwaka 2023. "Kwanza tumesikitika hasa kwa wale wanafunzi ambao walikuwa wamejiandaa kwa sababu nakumbuka mwezi wa tatu Waziri wa TAMISEMI alitoa tangazo la kwamba kutakuwa na tahasusi mpya itakayoanza kuanzia mwezi wa saba kwa vyovyote vile wapo wanafunzi waliochagua hizo tahsusi na wamefika shuleni na wamekutana na hali hiyo kwahiyo sasa lazima wafanye uchaguzi mwingine kwahiyo ni jambo ni jambo ambalo linasikitisha"- Dr Wilberforce Meena, Mshauri mwelekezi Haki Elimu
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #xxl