Afrique
Sous catégorie
Clouds Digital ya Clouds fm ikombashara na kipindi cha #leotena ya clouds fm kuna mastori kibao na Mh. Mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao/ Mh. Steve Nyerere mjengoni leo hii.
Clouds Digital ya Clouds fm ikombashara na kipindi cha #xxl large room ya clouds fm kuna mastori kibao na Qing Madi.
Dr Willibrod Slaa kwenye mahojiano maalum na Power Breakfast ya Clouds FM #PowerBreakfast
Dr Willibrod Slaa kwenye mahojiano maalum na Power Breakfast ya Clouds FM #PowerBreakfast
Dr Willibrod Slaa kwenye mahojiano maalum na Power Breakfast ya Clouds FM
Mengi ya viwanjani kupitia Hili Game ya Power Breakfast
LIVE: Power Breakfast Na Dr. Slaa
LIVE: Power Breakfast Na Dr. Slaa
LIVE: Power Breakfast Na Dr. Slaa
Clouds Digital ya Clouds fm ipo mumbashara kwenye kipindi cha sports xtra
SHAROBARO WA INSTA ATANGAZA ZAWADI YA NGUO JUU CHINI, ''KWA JAY MELODY TWENDE TUMEPOA''
SHILOLE ALIVYOWAPIGISHA MSOSI HEAVY JAY MELODY NA TIMU YAKE, ATANGAZA BALAA ''NIMEMISS STAGE''
FULL VIDEO: DANZO AMFUMANIA JAY MELODY NA TIMU YAKE | SHARO WA INSTA ATIMUA MBIO
SIR JAY (MAZEGELE BOY) AFUNGUKA KUGOMBANA NA SUTI BEGA, HELA ZA YANGA, KUNYIMA JINA NA ACCOUNTS
Clouds Digital ya Clouds fm ipo mumbashara kwenye kipindi cha sports xtra
Clouds Digital ya Clouds fm ipo mumbashara kwenye kipindi cha #Double xl
Clouds Digital ya Clouds fm ipo mumbashara kwenye kipindi cha #Double xl
Clouds Digital ya Clouds fm ipo mumbashara kwenye kipindi cha #leotena
"Tumekuwa tukitoa tahadhari kwa mnyama yoyote ambae amekufa ghafla hutakiwi wewe mwenye ng'ombe au mtu yoyote kumshika yule mnyama tunashauri katafute wataalamu wa mifugo waje wamuangalie wenyewe wanaweza kujua na zipo dalili za kujua hiki ni kimeta. Atakuwa anatoa damu, majimaji kwenye macho na matundu yote ya mwili na ule mzoga haukakamai hata ukikaa masaa kadhaa" - Dr. Stanford Ndibalema - Mkurugenzi msaidizi wa afya ya jamii kutoka wizara ya Mifugo na uvuvi #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba
Kwa mfano Baba wa Taifa wakati anatengeneza Tanzania hii ambayo imeisha 2021 alitaka tukae katika vijiji vya Ujamaa kama mwaka 1972 hadi 1974 lakini watekelezaji wengine walifanya tofauti. Hata kipindi hiki watu ambao wana maono wapo na tunaona haya kwa Mhe. Rais aliposema hatuwezi kufika mbali pasipo kushikamana alimaanisha. Kwanini baba wa Taifa aliamua kuua udini na ukabila? Kwa sababu alijua tukikaa katika yale tutashindwa kuwa na Tanzania moja. Tunapotazama miaka 60 mingine kutoka 2021 uhamasishaji ni wa msingi ila kwa vijana wapate elimu" - Ntimi Charles - Mchambuzi wa masuala ya Kisiasa #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba