Afrique
Sous catégorie
Hili game ya clouds fm
Wakutana kwenye Opereshenl +255 Katiba Mpya mkoan Arusha waklanza na mikutano sita. Ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wakilenga kurejesha ngome ya chama hicho mikoa ya Kaskazini
RICH MAVOKO:MKOJANI, TIN WHITE, TUSIDANGANYANE, KUJIANDANGALIA, KUJIREMBA | ATINGA NA RANGE MPYAAA
CHINO KIDD: SITAKI SHOW YOYOTE, SIJAWAHI KUCHITI | HAWAJAFIKA LEVEL, NAINGIZA PESA
#BongoFleva ya Clouds FM leo LIVE with @spesso__, @sadimmavoice_ pamoja na @crown_yo ???? •
DIAMOND APITA NA NJIA ZA HARMONIZE, AWACHAPA BAKORA KICHWA, JASON DERULO , S2KIZZY NDANI
RICH MAVOKO, CHINO KIDD WAFANYA KUFURU STUDIO, NI KAMA SHOW, HAPATOSHI
MALKIA WA NGUVU SHINYANGA WAKISHINDANA KUKIMBIA NA GOGO
HARMONIZE: BADEST 47, NI MDOGO SANA, KUIBIWA SENSEMA, NILIMSIKIA S2KIZZY, RAYVANNY, TUKURUPUKE
Sport xtra ya cloudsfm ipo live kila saa 3 usiku hadi 5 usiku.
KUSAH: NILIMMAINDI WOLPER, MOZE IYOBO, NALEA MTOTO WAKE, RUBY AKITAKA, NANUNUA GARI
#LEOTENA: WANA SHINYANGA WAKISHINDANA KUPONDA MAWE KWENYE LEO TENA
KIMY KIANDOA ATOBOA SIRI YA DIAMOND KUKIWASHA KIMATAIFA, CHRISS BROWN KUINGIA MTEGO
#LEOTENA UMEWAHI KUKUTANA NA CHIPS MAYAI YA KUTEMBEZA?, HIZI HAPA NI ZA SHINYANGA
Hili game ya clouds fm
Hili game ya clouds fm
Nadharia nyingine ambayo ilimfanya Kikwete akose Urais mwaka 1995 ni Edward Lowassa. Tumeisimulia kwenye kitabu. Lowassa baada ya kukatwa ilivuja taarifa kwamba atakayekuwa Waziri Mkuu baada ya Kikwete kuwa Rais ni Edward Lowassa na hapo ndipo ambapo nadharia ilianza kuzunguuka kwamba Mwalimu Nyerere alikwazwa na hizo taarifa. "Na hizo taarifa tumemnukuu mtu ambaye alikuwa ni mwandishi mashuhuri lakini pia alikuwa team Benjamin Mkapa mwaka 1995. Ametusimulia jinsi ambavyo alivyoitwa akaambiwa kwamba kijana (Kikwete) amekosea, kwamba walimkata Lowassa akaona wao hawana maana anawatangazia vijana kwamba Lowassa atakuwa Waziri Mkuu wake"- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.
"Utakumbuka Jakaya Kikwete na Edward Lowassa (Hayati) mwaka 1995 walikuwa ni vijana kabisa. Kikwete alikuwa na Miaka 45 na Lowassa alikuwa na Miaka 42. Walijitokeza kugombea wakiwa na pacha na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kujenga ile political married yaani ndoa yao ya Kisiasa. "Pamoja na vyanzo vingi ambavyo tumeviweka kwenye kitabu hata Mzee Kikwete mwenyewe akiwa New York University mwaka 2019 wakati akielezea maudhui ya kitabu chake akizungumza jinsi ambavyo alivyoshawishiwa na wazee kwenda kugombea Urais. Baadae alifuatwa na Mzee Samuel Sitta (Hayati) pamoja na Lowassa wanatengeza timu ya pamoja wakati ule Kikwete alikuwa kama vile hana interest ya kugombea Urais"- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui. #PBCloudsFM #Tumekuverify
Nchini Tanzania kati ya maswahiba waliowahi kushibana kwa kiwango hicho na baadae kutofautiana ni Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa. Lakini Je ukina wa hili unaujua Kwa kiwango gani, visa na Mikasa pamoja na mapito Yao...? Kwenye #PBCloudsFm tutakuwa na .@luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu kinachofahamika kama : KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui. #Tumekuverify