Afrique
Sous catégorie
GIGY MONEY: HARMONIZE, NI MLEVI, MIYEYUSHO TU | MPENZI HANIONI BILA HELA, NSHAGOMBANA NA MASTAA
KUSAH: MI NINA HELA KULIKO AUNTY EZEKIEL, MOZE IYOBO, SHILOLE NANI MKOROFI?
Hili game ya cloudsfm Live sasa.
Mei 8, Mwaka huu, Mkakati Wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia uliwekwa wazi, ukilenga kuteketeza miaka 10 yaani kuanzia 2024 hadi 2034, kuepuka Athari za Matumizi ya Kuni na mkaa. Tayari Wadau ndani na nje ya nchi wamejielekeza kwenye Mkakati huo, likiwemo Shirika la Umoja Wa Mataifa la Mitaji na Uwekezaji ( UNCDF), je ni Kwa namna gani Shirika hilo la Kimataifa limejiweka sawa kuhakikisha Watanzania wanajikita kwenye Matumizi ya Nishati safi ya kupikia... Kwenye #PBCloudsFM live studio tutakuwa na Emmanuel Muro - Meneja Mradi Wa CookFund na Afisa Mwekezaji Mwandamizi - Shirika la UNCDF.
@_kusah_ LIVE kwenye #XXLyaCloudsFM muda huu ????
POLISI YAKAMATWA WATU WANNE , TUKIO LA MAUAJI YA MTOTO ALBINO
RAIS SAMIA S HASSAN AONGEZA MAMIA KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWAMTOTO ALBINO ALIYEUWAWA
HARMONIZE, OMMY DIMPOZI WAKIINJOI NGOMA YA ZUCHU
S2KIZZY, RAYVANNY STUDIO TENA BAADA YA SENSEMA
MSAMIATI: MIMI NDIO MTAWALA, HARMONIZE, LUNYA, NAMUONEA SANA HURUMA, SETFIBBY, NI WIVU TU
THE SPARK WITH DAYOO: NIMEMTUMIA RAYVANNY NGOMA 50, AKATAKAA ZOTE
THE SPARK WITH ASMAH: ''SIPENDI KUJIONA'', KUPENDA SANA NGONO, ''MBONA MZURI AMEKOSA NINI''
Hili game ya clouds fm
Hili game ya clouds fm
ayari bajeti Kuu ya Serikali Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025, imewekwa wazi, ni kiasi Cha Shilingi Trillion 49.3 kiasi kilichotangazwa na Waziri Wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. Mambo lukuki yameguswa kwenye Bajeti Kuu ya Serikali miongoni mwa hayo ni pamoja na kutolewa Kwa marufuku Kwa watoa huduma na Wafanyabiashara kutoza malipo Kwa Fedha za kigeni, msisitizo ukiwekwa kwenye Matumizi ya Shilingi. Hiyo ikiwa ni namna mojawapo ya kukabiliana na uhaba Wa Dola, je hii Ina tafsiri gani Kwa watoa huduma, maeneo gani yanatazamwa zaidi, je Inawezekana Kila sehemu kutumika Shilingi badala ya Fedha ya kigeni....? Kwenye #PBCloudsFm tutakuwa na Gabriel Mwang'onda, Mchambuzi Wa masuala ya uchumi. #Tumekuverify