Afrique

Sous catégorie

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Xxl ndani ya cloudsfm Live sasa.

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

MBOSSO, YAMMY KWENYE MAHABA MAZITO?, ZUCHU, DIAMOND WATHIBITISHA

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

HARMONIZE, RAYVANNY KUWASUMBUA KICHWA DIAMOND PLATNUMZ, ALI KIBA, WATANGAZA BALAA

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Team ya wanamichezo Mjengoni inakusogeza karibu na taarifa zote kubwa za michezo | HILI GAME

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Kuelekea fathers day ya kila jumapili ya pili ya mwezi June kila mwaka, Team Leotena imetoa nafasi maalum siku ya Alhamis June 13 kwaajili ya Baba anaemtafuta mtoto wake waliepotezana kwa muda mrefu au Mtoto anae mtafuta Baba yake ambae wamepotezana kwa miaka mingi. Nafasi hii ni kwa siku moja pekee hivyo kwa walio Dar Es Salaam mnakaribishwakufika Studio za Clouds mapema kuanzia saa tatu asbuhi, na kwa wale wa mikoani mtume sauti za maelezo yenu kupitia whatssup namba 0687842891.

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Wakati shauku ya wengi ikiwa ni kusubiri Bajeti hiyo, kwenye PB tunaendelea na mjadala Wa namna gani Taifa linaweza kuwa na vyanzo vipya vya mapato kuliko kutegemea Bajeti pekee, tunafanyaje Bajeti itoshe, Tunatokaje hapo. Live kutokea Bungeni, Jijini Dodoma Spika Kivuli Wa Bunge Dogo la #PBCloudsFM @officialcza yupo na Prof. Kitila Mkumbo- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji.

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Murtaza Mangungu akizungumza kuhusu uwezekano wa Simba kuwa na muwekezaji mwenza tofauti na Mohamed Dewji #SportsXtra

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Murtaza Mangungu akizungumza kuhusu usaliti ndani ya klabu ya Simba na maoni ya baadhi ya viongozi na mashabiki #SportsXtra

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM akijadili kinachoedelea ndani ya timu hiyo ikiwa ni baada ya tamko la muwekezaji Mo Dewji #sportsxtra

CLOUDSMEDIA
5 mois depuis

Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM kuzungumzia yanayojiri ndani ya Club ya Simba #SportsXtra

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

#KutokaDodoma Waziri wa Madini Antony Mavunde amezidua Timu yenye Wajumbe 13 ambao Kwa Pamoja wataandika Andiko la Dira ya Wizara ya Madini (Vision 2030) ili kuleta tija ya Sekta ya Madini hapa Nchini. Mhe. Mavunde amesema kukamilika kwa andiko hili kutapelekea kukua kwa mchango wa sekta ya Madini katika pato la Ndani la Taifa (GDP). Waziri wa Madini amesema andiko hilo pia litaionesha namna ya ushiriki wa Watanzania katika sekta ya madini (Local Content) hapa nchini na ni lazima madini na rasilimani zilizo nchini ziweze kunufaisha Watanzania kwanza katika kushiriki katika mnyororo mzima wa thamani katika sekta hiyo. Hivyo timu hiyo ya wataalam watakaondika andiko la “Vision 2030” imeundwa na Wataalam 14 kutoka Serikalini na Sekta binafsi lakini pia timu hiyo itaongozwa na Prof. Abdulkarim Mruma imekabidhiwa hadidu za rejea 14 kwa ajili ya uandishi wa andiko hilo. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #CloudsDigitalUpdates

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

SALMIN SWAGGZ: WASANII WAKUBWA WANAMTONGOZA BRANDY, ANAFUTA INSTA YAKE, HASHIKI SIMU YANGU

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Matokeo ya uwekazeji, TPA yavunja rekodi ya kutoa gawio la 153.9Bln Serikalini Na Mwandishi Wetu Ikiwa ni miezi michache tu imepita mara baada ya maboresho ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na kampuni mbili za kimataifa katika Bandari ya Dar es Salaam, tayari uwekezaji huo umeshazaa matunda. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio hilo limeifanya TPA, kuongoza kwa kutoa gawio kubwa zaidi kuliko taasisi zote za Serikali hapa nchini, “na haya ni matunda ya uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam”, amasema Mkurugenzi Mkuu, Bw. Prasduce Mbossa. TPA imefanya uwekezaji mkubwa kwa kuboresha miundombinu ya kwa Bandari zake. Katika Bandari ya Dar es Salaam, TPA imefanya maboresho ya ujenzi wa magati na kuongeza kina, imetanua lango la kuingilia Bandarini na sehemu ya kugeuzia meli. Mamlaka pia imekuwa ikishirikiana na vyema kiutendaji na wawekezaji ambapo hadi sasa Kampuni ya DP World imeshafanya uwekeza mkubwa kwa kununua vifaa kama SSGR (Ship to Shore Gang Cranes) nane (8), pamoja na T.T. (Terminal Tractors) 50. Ushirikiano huo umefanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa ya kisasa, kuongeza ufanisi na kutoa huduma zake za kuhudumia meli na mizigo kwa ubora na ufanisi zaidi. Mwisho

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

SKY (FREDRICK BUNDALA): AWAFUNGUA MASIKIO HARMONIZE, RAYVANNY, ''ITAWASAIDIA KIBIASHARA''

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

NAY WA MITEGO, ED SHEERAN BABA YAO MMOJA, HIZI NI TABIA WAMBAZO WANAFANANA

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

RIHANA, ZUCHU WATANGAZA KUKAMILISHA ALBUM ZAO, AZINDUA PRODUCT YA NYWELE

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Xxl ya cloudsfm live muda huu.

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Baadhi ya maeneo tumepokea malalamiko ya wananchi kuwa utaratibu wa ubebaji taka umeendelea kuwa na changamoto hasa kwenye suala la kubeba taka kwa wakati na kudai ada zao hata katika miezi ambayo hawajapita kabisa. Mtaani kwako kukoje kuhusu utaratibu huu, wanapita kwa wakati.? @dahuuofficial @geahhabib @josemarah #Leotena




Showing 58 out of 59