Afrique

Sous catégorie

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Hili game ya cloudsbfm

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Kupitia Leo Tena familia 6 zinakutana kwa mara ya kwanza wakiwa wanakutanishwa kupitia mchongo wa Mama ni Mama #LeoTena #MamaNiMama

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Shauku ya Wengi kama si wote ni siku Moja kuingia kwenye baraka ya kuoa au kuolewa hatimaye aitwe Mke au Mume. Lakini wakati wa kusubiri kipindi hicho kifike yaani ukiwa katika Nyakati za usingo, Miaka ambayo hujaoa au kuolewa unaishi ishije unasubiriaje wakati sahihi wa ndoa. kwenye #PbCloudsFm tupo na Rebecca Owigo - Mwandishi wa Kitabu Cha "Wakati Unasubiri" ambae pia ni Mwalimu wa Mahusiano ya Vijana na Mabinti.

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Mbunge wa Kilombero Mhe. Abubakari Asenga ameongea na Clouds 360 juu ya miradi mbalimbali inayoendelea jimbonin kwake na namna anavyohakikisha wananchi wa kilombero wanapata mafanikio kwa kuwasemea Bungeni Jijini Dodoma

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewakamata matapeli sugu wa Ardhi wa 3 katika Wilaya ya Temeke kata ya Toangoma Jijini Dar es salaam ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kujipatia Mamilioni ya fedha. Amefanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya Jamii NSSF baada ya kuweka mtego kwa wanunuzi wa Ardhi kwa malipo ya shilingi milioni nane na kufuatia tukio hilo, amewataka wananchi kuacha kununua Ardhi chini ya Viongozi wa Serikali za mitaa sambamba na kuwazuia Wenyeviti wa Serikali za mitaa kuuza Ardhi kote nchini. #CloudsDigitalupdates

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Xxl ya clouds fm #xxl

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Xxl ya clouds fm #xxl

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Jun / 06 / 2024. Ikiwa imebaki Siku Moja kuelekea kwenye kilele cha siku ya kumkutanisha mama na mwana hapa mjengoni Clouds Media Group.

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Team yako ya wanamichezo kutoka mjengoni inakusogeza karibu na story zote kubwa za michezo

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Elimu imeendelea kutolea na Wadau wakishirikiana na Serikali kuweka msisitizo juu ya namna bora ya kupambana na tatizo la Saratani ikiwemo kupima Afya ili kubaini tatizo mapema. Miongoni mwa wapambanaji dhidi Saratani ni Mwanaharakati maarufu aliyefanikiwa BABU WA KITAA.... je Safari yake ilikuwaje, kuanzia alipobaini tatizo hadi Sasa....

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Chama Tawala nchini Afrika Kusini Cha African National Congress (ANC), mambo kwake ni hobela hobela, kwani tayari kimepoteza Idadi kubwa ya Wabunge katika uchaguzi uliopita. Ushindi wake ni wa asilimia 40 ya kura, hivyo kinahitaji walau kupata mshirika ili kupata wingi Wa Wabunge ambao wataunga Mkono Rais atakaechaguliwa. Mambo ni mengi muda wenyewe hautoshi, kwenye PB tutakuwa na Mwakilishi wetu aliyeambatana na Team nzima kutoka Mjengoni akitupitisha Kwa utuo na kupata uzoefu wake wakati akiwa huko... Kesho kwenye #PBCloudsFM @officialcza atatukulisha kila kitu kilichojiri kwenye uchaguzi wa nchi hiyo!

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Mrithi wa TB Joshua afunguka kilichomleta Tanzania! | Kufanya Maombi uwanja wa Taifa

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

“Wakina nani wanafanya under invoice hamwajui, wakina nani wanafanya under declaration hamwajui..” Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ulenge, wakatgi anachangia bajeti ya Wizara ya fedha kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema ana uhakika Waziri wa fedha kwanini wananchi wanamwamko mdogo wa kulipa kodi, lakini pia ana uhakika kwanini miamala inafichwa na taarifa za wafanyabiashara. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

CLOUDSMEDIA
6 mois depuis

Waziri tulimshauri muda mrefu malimbukizo ya kodi kwa jailli ya TRAB na TRAT na hadi sasa yamefikia trilioni 10.48, huwezi kukusanya kodi katika mazingira ya namna hiyo, hivyo tusipolinda viand vyetu via ndani hatuwezi kukusanya kodi.” Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina, leo wakati achangia bajeti ya Wizara ya Fedha ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates




Showing 61 out of 62