Afrique
Sous catégorie
SPARK WITH PATRICK KANUMBA: SIKUWA NA ELIMU YOYOTE, ILIKUWA NI NOMA, ALITUZINGUA
"HARMONIZE, DIAMOND KUPATANA BIASHARA ITAKUWA MBAYA, RAYVANY AKISIKIA CHUKI.., NAACHA MUZIKI 2026
Mh. Rais mimi kwa niaba ya yangu na Katibu Mkuu nikushukuru katika panga pangua ya juzi umeendelea kutuamini, ahsante sana." Waziri wa Habari, Mawasiliano nav Teknolojia ya Habari Mh. Nape Moses Nnauye kwenye uzinduzi wa tume ya ulinzi wa taaarifa binafsi uliofanyika april 3,2024 katika ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam. ikumbukwe panga pangua hiyo ilitangazwa rasmi Machi 30,2024.
DADA WA WEMA SEPETU KUHUKUMIWA MIAKA 20 JELA MAREKANI, HILI NDILO KOSA LAKE
ANAYEIGIZA SAUTI YA YESU AZUNGUMZIA SAFARI YAKE ILIVOKUWA. Boniphace Hamisi maarufu 'Yesu wa Mjengoni" kwa maana ya fundi ujenzi Mkazi wa Mwakibete Jijini Mbeya azungumzia safari yake ya kunakili sauti za watu tangu alipoanza na mpaka Sasa Boniphace amesema anatumia njia ya kunakilisha sauti kufikisha ujumbe kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo ya kiafya na kuhubiri injili mataifa yaokoke. #CloudsDigitalUpdates
JOSEPH KUSAGA AWAPATANISHA HARMONIZE, BABA LEVO, DIAMOND NA ALI KIBA WANAFUATA?
Msami asimulia alivyonusurika kwenda jela kwa kesi ya mauaji...'nilisingiziwa'
MSAMI: ALI KIBA, DIAMOND, WANA SHIDA YA AKILI, UMESHUKA HUTAKI KUKUBALI | WATU WANAKUCHEKA
EXCLUSIVE VANESSA: AJIBU KUTOKA KIMAPENZI NA AZIZ KI WA YANGA | KUISHI NYUMBA MOJA
MAASAI AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KIFO CHA KING MAJUTO | ''KAMPUNI ILIKUFA''
SINGLE MTAMBA AFUNGUKA WASANII KUJIREKODI VIDEO ZA FARAGHA, ''UKIYATAKA YATAKUKUTA''
Ulijajiuliza nini maana ya Litrujia inayoadhimisha mateso ya Yesu Kristu, kufa na mpaka kufufuka kwake? Ungana na Caloryn Francis
Bei Ya Feisali Kwasasa Ni Bilioni 5 | Ofa Za Feisali Ni Mbili Mpaka Sasa | Timu Yoyote Ije
Uchambuzi wa Tatu za Pasaka na Paroko wa Kanisa la ST Joseph Posts Dar es Salaam Padre Denis Wigira.
Mwakinyo atamani kutoa Harmonize kama Mfano kwa wengine! | Adai atakuwa ADUI wa kudumu!
Simple the Boy ame-sizi kitaa na wana kuzicheki takwimu za unywaji maji kulingana na jua linalotwanga ndani jiji la Dar es Salaam. Wana wamefunguka lita wanazokunywa kwa siku akiwemo bibie aliyedai anakunywa maji ndoo moja kwa siku kiasi cha kuuacha umma midomo wazi na vicheko vya hapa na pale, sawa, kulingana na eneo upo na hali ya hewa, unakunywa lia ngapi za maji kwa siku ?