Afrique
Sous catégorie
Mengi yaliyojiri viwanjani siku ya leo
Mengi yaliyojiri viwanjani siku ya leo
" @officialalikiba ni mwanaume mzuri anavutia pia ni kaka yangu hivyo sikuona shida kurekodi video ya wimbo wangu wa #Zamani huku nikicheza naye kwanza nipo single na yeye yupo single" @mauasama
Kuelekea kilele cha The Orange Concert March 8 Serena Hotel Mkurugenzi wa @DadaHoodtz Mkuwe Isale (@MamyBabytz) anapita LIVE kwenye #XXLyaCloudsFM kusema na wewe!
Ni story ya Rose Yona Malle aliyepitia mtihani mgumu uliopelekea kufungwa kifungo cha kunyongwa hadi kufa lakini baada ya miaka 6 kuachiwa huru. Ilikuwaje akahukumiwa ? chanzo cha kesi yake na imekuwaje kuachiwa huru ? Leo atakuwa live kwenye #LeoTena pamoja na mumewe ambaye walikutana gerezani kuanzia saa nne kamili asubuhi. Cc. @dahuuofficial @geahhabib @mwijaku @josemarah
Mengi yaliyojiri viwanjani siku ya leo
Katika mikoa 23 niliyotembea kwa awamu zote mbili, nimebaini dhulma katika sekta ya ardhi unayofanywa na matajiri na baadhi ya watumishi wa umma imesababisha mioyo mingi ya Watanzania kugubikwa na dhulma na hivyo kuichukia Serikali yao. Wananchi wengi wanalalamikia wenye nazo na makamisha wa ardhi na wapima kuwadhulumu ardhi yao huku wengine wakitoa hati juu ya hati. Chama kinamwagiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa kufanya mapitio ya wafanyakazi wote wanaotajwa kuwa kwenye mtandao wa dhulma sekta ya ardhi ili watakaobainika wachukuliwe hatua za kisheria. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amesema hayo wakati akitoa tathmini ya ziara yake ya kutembelea mikoa 23 kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi. #CloudsDigitalupdates
Rais wa Tanzania DK Samia Suluhu Hassan ataanza utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi kila mwezi lengo likiwa ni kuwadhihirishia watendaji aliowachagua kuwa anataka wawatumikie wananchi. Kero zinasikilizwa lakini hazipatiwi ufumbuzi na viongozi walioko madarakani, Dk Samia anataka kero za wananchi zisikilizwe na wananchi kupatiwa haki zao. Kutokana na hilo Mwenyekiti wetu wa CCM atatenga siku moja kwa mwezi iwe Lumumba, Dodoma au Zanzibar kusikiliza kero za wananchi ambazo hazijapatiwa ufumbuzi. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amesema hayo wakati akitoa tathmini ya ziara yake ya kutembelea mikoa 23 kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi. #CloudsDigitalupdates
Sakata la Price Dube Kuondoka Azam FC | Yanga Inatajwa Kuwa nyuma ya dili ,Shaffih Dauda Afunguka
#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano na mkongwe wa Uandishi wa Habari Tanzania Salim Kikeke na kipindi cha #PowerBreakfast
Zanzibar Maisha ni Ghali Ukilinganisha na Maisha Ya Tanzania Bara Pia Mgeni Anapofika Zanzibar Anapewa Maelekezo Juu ya Tamaduni Za Zanzibar Upande Wa Mavazi, Vyakula Na Mtiririko wa Maisha Ulivyo. Zanzibar Imebarikiwa Kuwa Na Vivutiyo Vingi sana Ikiwemo Majumba Ya kale, Visiwa, Beach Na Vinginevyo.
#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya kipindi cha #PowerBreakfast na Kiongozi kutoka chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe
#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya kipindi cha #PowerBreakfast na Kiongozi kutoka chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe
#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya kipindi cha #PowerBreakfast na Kiongozi kutoka chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe