Suivant

''NIMEKUWA MWANAHARAKATI WA AFYA YA AKILI''-MARIAM BINTI KUTOKA PLAN INTERNATION

30/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Nimekuwa mwanaharakati wa afya ya akili kwa sababu ni janga ambalo jamii imelifumbia macho. Serikali, Azaki na wanamaendeleo mkiwa mnatekeleza miradi ya maendelo mzingatie kuweka mazingira rafiki ya mabinti kustawi kimwili, kijamii na kiakili" - Mariam (20)

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant