Suivant

AIRPORT KUJENGWA RUKWA UCHUMI KUFUNGUKA | HATUNA HISTORIA YA KUOMBA CHAKULA

15/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ni muda mrefu sana tulikua tunasubiri hili kwa sababu Rukwa ni mkoa mkongwe lakini hatimae tunakwemda kuwa na kiwanja cha ndege kitakacholeta tija kwenye uchumi wa Rukwa na kutegemea hata wafanyabiashara wakubwa kuja hapa kwa kutumia ndege, barabara au usafiri wa maji"- Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant