Suivant

ALI KAMWE NA YANGA YATUMA MAOMBI MATATU KUHUSU KAGOMA

12/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Baada ya Mkurugenzi wa sheria wa Yanga Wakili Simon Patrick kusema kuwa mchezaji Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa Yanga, ameomba mambo mtatu kwa Kamati inayoshughulikia shauri la mchezaji huyo kudaiwa kusaini klabu mbili tofauti ndani ya dirisha moja la usajili.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant