Suivant

ALIKIBA: NIMEJIFUNZA ROHO MBAYA, NDOTO YA KUMILIKI MEDIA,CLOUDS NI NYUMBANI, DIDDY SIJAKUTANA NAE

25/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mfalme @officialalikiba ame-share na sisi feelings za kuwa Mmiliki wa Media, akitujuza kuwa haikuwa safari ya muda mfupi, ikianza kama ndoto na sasa anaishi ndani ya ndoto hiyo! • #XXLyaCloudsFM King @officialalikiba anadai hana mpango wa kukutana tena na msanii wa Marekani kutokana na story hizi anazozisikia zinazoendelea kuhusu Diddy! ???? • #XXLyaCloudsFM @officialalikiba anakiri kuwa moja kati ya vitu ambavyo vimemfelisha kwenye maisha ni kuamini watu! Kitu ambacho amejifunza na matokeo yake anayaona kwa engo chanya ni kuwa na roho mbaya! ???? • #XXLyaCloudsFM

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant