Suivant

Athari za ushuru kwa watengenezaji bidhaa

12/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Ongezeko la ushuru pamoja na ushindani kati ya bidhaa zinazotengenezewa humu nchini na zile zinazoagizwa kutoka nje ni baadhi ya changamoto zinazokumba sekta ya uzalishaji humu nchini na mchango wa sekta hiyo katika kukuza uchumi wa taifa. Stephen Kigera ni mmoja wa wamiliki wa viwanda nchini ambao wamejipata taabani na kukadiria hasara ya mamilioni. mwanahabari david kagina alitangamana naye na anatueleza safari yake ya uwekezaji humu nchini na jinsi kiwanda chake kimesambaratika baada ya kutumia mtaji wa zaidi ya shilingi milioni mia tatu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant