Azimio yakana madai ya mgawanyiko
0
0
22/01/24
Kinara wa Azimio Raila Odinga amepuuzilia mabali madai kuwa muungano wa Azimio umesambaratika. Odinga ametaja semi hizo kama porojo na anasisitiza kuwa Azimio imedumisha mshikamano wake tangu uchaguzi wa 2022 na itasalia kujitolea katika azma yake ya kuikomboa nchi kutoka kwa kile anachodai dhuluma na kutowajibika. Odinga anashikilia kuwa tofauti ya mawazo sio ashirio ya msukosuko nadni ya chama hicho
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par