Suivant

Azma ya Patrick Kuria kukwea Mlima Kenya chini ya saa kumi

06/01/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Hii leo kwenye sauti ya mazingira tunakuletea taarifa ya Patrick Kuria, anayependa kukwea milima, na azma yake ya kuukwea mlima kenya kwa chini ya saa kumi. Kuukwea mlima huo hadi kileleni kawaida huchukua kati ya siku nne na siku sita ila Patrick analenga kuukwea kwa muda huo kama njia ya kutoa hamasisho kuhusu uhifadhi wa mazingira. je atafanikiwa?

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant