Baadhi ya wabunge watishia kumbandua mamlakani waziri wa afya Susan Nakhumicha,
0
0
27/03/24
Baadhi ya wabunge wametishia kumbandua mamlakani waziri wa afya Susan Nakhumicha, wakimlaumu kwa kutolipatia uzito suala la mgomo wa madaktari. Huku wakilalalamikia kimya kingi kutoka kwa viongozi wakuu serikalini kuhusu mgomo huo, wabunge hao wamemtaka rais William Ruto kuingilia kati na kutatua sintofahamu hiyo inayoshuhudiwa hivi sasa katika sekta ya afya ili kuwapa wakenya afueni.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par