Baraza la KNEC latangaza kutakuwa na mtihani maalumu wa KCSE kwa wanafunzi waliokosa kufanya
0
0
09/01/25
Baraza la mitihani ya kitaifa (KNEC) limetangaza kutakuwa na mtihani maalumu wa KCSE kwa wanafunzi waliokosa kufanya mtihani huo kwa sababu moja au nyingine na wale wanaotaka kurudia mtihaniisitoshe matokeo ya watahiniwa 840 yamefutiliwa mbali huku matokeo ya watahiniwa elfu 2,892 yakisitishwa kuwasilishwa hadi uchunguzi utakapokamilika ndani ya siku 30. haya yanajiri baada ya wizara ya elimu kusisitiza kuwa walidhibiti udangayifu wa mitihani
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par