Boniface Mwangi na daktari Willy Mutunga wakamatwa na kuachiliwa DCI
0
0
25/06/24
Wanaharakati mbali mbali wanaopinga mswada wa fedha 2024 wameelezea hofu yao kutokana na visa vya waandamanaji kutekwa nyara. Hii leo Boniface Mwangi na aliyekuwa jaji mkuu Willy Mutunga miongoni mwa wanaharakati wengine walifika katika ofisi za DCI kutaka majibu kuhusu waliko baadhi ya waandamanaji wanaodaiwa kutekwa nyara na serikali. Wanaharakati hao wameitaka serikalini heshimu haki za waandamanaj
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par