Suivant

Bunge la kitaifa na seneti lajadili hazina ya ustawi wa maeneo bunge

26/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Bunge la kitaifa na seneti hii leo limejadili hazina ya ustawi wa maeneo bunge haswa swala la kujumuishwa kwa basari zote ili kuwezesha ufadhili wa elimu. mswada huo uliopendekezwa na mbunge wa Nairobi Esther Passaris bungeni, unanuia kuipa wizara ya elimu mamlaka ya kusimamia hazina hiyo. Hili linakuja huku hazina ustawi wa maeneo bunge ikipata pigo kotini baada ya kutangazwa kuwa kinyume na sheria huku wabunge wakiapa kuendelea kuipigania hazina hii.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant