Suivant

CAPT IBRAHIM: MSICHANA ALIYEBAKWA NA KULAWITIWA NA KINA NYUNDO KULIPWA FIDIA | KUHUSU ALIYEWATUMA

02/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Kuhusu fidia, mara nyingi hakuna mtu ambaye hana mali yake. Wengine walikuwa wafanyakazi kuna askari Magereza na Wa Jeshi la Wananchi. Kwahiyo kuna namna nyingi ya kupata hiyo hela"- Capt Ibrahimu Bendera, Wakili Hizi taarifa kwamba tumetumwa na fulani kazitoa nani? Zimepatikana vipi? Uchunguzi kutokana na tuhuma hiyo umefikia wapi? Sio rahisi kwa mtu wa nje kujua Polisi walifuata nini kujua hiki na kile. Je waliokuwa mahakamani walisema walitumwa na fulani?- Capt Ibrahimu Bendera, Wakili

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant