Suivant

Changamoto za watu wanaoishi na ugonjwa wa vitiligo

25/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Watu wanaoishi na hali tofauti wanazidi kutoa shinikizo kwa wadau husika kuwekeza zaidi katika changamoto zinazowakumba kama vile kuwepo kwa mafuta ya kuwakinga dhidi ya miale ya jua, ikikadiriwa kuwa saratani ya ngozi inaongezeka kwa kasi miongoni mwao, unyanyapaa miongoni mwa changamoto nyingine. na huku ulimwengu ukitarajia kuadhimisha siku ya watu wanaoishi na vitiligo hapo kesho. Julie Nasuju anatahmini changamoto za watu wanaoishi na hali hii.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant