Changamoto zinazowakumba wahitimu wa udaktari
0
0
09/04/24
Kozi ya matibabu kwa kawaida ina hadhi ya juu na heshima nchini Kenya, kwani ni moja ya kozi zilizo na makato bora nchini, na inachangia katika kufanikisha afya kwa wote. Hata hivyo, ukweli kwa wahitimu wengi wa hivi karibuni ni tofauti. Katika makala ya siha yangu leo. Changamoto zinazowakumba wahitimu wa udaktari kama Dkt. Dennis Mbono, ambaye badala ya kufanya udaktari, amejikuta akitoa huduma ya kuwasilisha vyakula katika mitaa ya Nairobi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par