Clouds 2025 Hour Top | Asante Kwa Tafuu - Lilly & Freshows
0
0
01/01/25
LYRICS: Nimeinuka na kusimama, Kwa ujasiri, Usio wa asili, Leo mimi nasema, mi nasema, Nainuka na kukiri, Dunia Itambue ukweli. Nabebwa, nalindwa Nawezeshwa na yako Tafu, Ungenikataa, ungenipuuza, Nisingeiunda hii safu. Na tumefanikisha ndoto za jana, Kwa machozi na jasho, Tunageuza hapana, Ya leo kuwa ushindi wa kesho. Haya, Asante kwa Tafuu Haya, Gen C For Life! Haya, Asante kwa Tafuu Haya, Gen C For Life! Haya, Asante kwa Tafuu Haya, Gen C For Life! Haya, Asante kwa Tafuu Haya, Gen C For Life!
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par