Suivant

DCI yathibitisha kuwa miili yote ni ya wanawake

14/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Idara ya ujasusi ya DCI imethibitsha kuwa miili yote iliyopatikana katika kitongoji cha kware huko Mukuru Kwa Njenga ni ya wanawake na pia imedhihirika kuwa watu hao waliuawa kwa namna moja. Idara hiyo imetaka subira kutoka kwa wananchi inapoendeleza uchunguzi ambao umepangiwa kuchukua siku 21. Swali ni je ni nani aliyetekeza mauaji hayo na kwanini alifanya ukatili huo?

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant