Dhiki ya waathiriwa wa mafuriko
0
0
10/06/24
Mwezi mmoja baada ya bomoa bomoa kuendelezwa katika eneo la mabanda la kiamutisya hapa jijini Nairobi ,wengi wa waathiriwa wameachwa walalahoi hawana mbele wala nyuma ,na zaidi wakibaiki bila makao kwenye kibaridi. Magonjwa ya baridi,kama pneumonia ,magonjwa yanayotokana na maji yasio safi yanawaandama.nilizuru eneo hilo kupata taswira kamili na tuliokutana nayo ni hali tete..
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par