Suivant

Dkt. Nkundwe: Tanzania Nchi ya 25 Duniani kwa Matumizi ya TEHAMA I Roboti Uenice Aleta Heshima

10/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Ukiangalia vipimo mbalimbali vinavyopima kuhusiana na mambo ya TEHAMA duniani sisi tunafanya vizuri ila kwa sababu tu tumezidisha kujidharau. Huko duniani tunaheshimika kwa mfano katika kutoa huduma za Serikali ni kati ya nchi bora 25 duniani kwa uwezo huo duniani. Kwa sababu kwa hapa Tanzania huduma nyingi unaweza kuzipata kwa kutumia mtandao hadi bili hata ukiwa nje ya nchi unaweza kulipia bili Tanzania" - Dkt. Nkundwe Mwasaga - Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA. #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant