Suivant

Domokaya Akanusha Mandojo Kuwa Na Msongo wa Mawazo

12/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyekuwa akiunda kundi la “Mandojo na Domokaya” Precious Juma maarufu kama Domokaya amesema Kifo cha Rafiki yake Mandojo hakijatokana na msongo wa mawazo kama baadhi ya watu wanavyozungumza kwenye mitandao ya kijamii.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant