Suivant

Dukuduku kwa nini mwanafunzi aliyefuzu JKUAT majuzi alitekwa nyara...Je, Yuko salama?

23/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Maafisa wa polisi kituoni Juja kaunti ya Kiambu wanachunguza tukio la utekaji nyara wa kijana wa umri wa miaka 25. Kijana huyo anadaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana katika eneo hilo wiki iliyopita. Kufikia leo familia wala polisi hawajui evans kibet kipng'eno aliko

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant