Suivant

Faida ya uyoga kwa binadamu

09/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Misitu ya asili inachangia kwa kiasi kikubwa kusawazisha bayoanuwai, ambayo inategemewa pakubwa na aina mbalimbali za wanyama na ndege ikiwemo miti. Wakati miti inaoza, hutengana kwenye udongo. Kuvu ambayo inajumuisha uyoga huchangia mchakato huu wa kuoza, na hivyo kuboresha ubora na afya ya udongo. umuhimu wa uyoga katika mazingira na faida zake kwa binadamu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant