Familia ya Rita Waeni yaelezea polisi kichwa kilichopatikana kwa bwawa, Kiambaa, ni Cha mwanawao
0
0
23/01/24
Familia ya Rita Waeni imebaini kichwa na nguo zilizopatikana bwawani huko Kiambaa, kaunti ya Kiambu, ni za mwana wao. Matokeo yanaashiri kwua muuaji alitupa kichwa cha rita katika eneo hilo baada ya kumchinja msichana huyo wa miaka 20. Maafisa wa polisi wanasema italazimika kichwa hicho kifanyiwe uchunguzi wa dna pamoja na upasuaji kubaini ukweli, na hapo ndipo familia itapewa kichwa kwa ajili ya mazish
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par