Suivant

Gabriel: Ziara ya Rais Samia Imekuwa na Manufaa Makubwa I Ulaya, USA Wanakula Maparachichi Kutoka TZ

09/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Ziara ya Rais nchini China imekuwa na manufaa makubwa na kwa sisi ambao tulikuwa tunafuatilia hizi siasa kwa muda mrefu tumekuwa tukitamani nchi hizi mbili yaani Tanzania na China mlengo utoke kwenye Uhusiano wa kawaida wa Kidiplomasia uende kwenye Uhusiano au Diplomasia ya Uchumi. Tunaona kabisa tunaelekea huko na tunaelekea kufanya vizuri na ni mwanzo mzuri wa Tanzania kuanza kutumia nguvu za Kidiplomasia Duniani kubadilisha uhusiano wa kawaida kwenda kwenye uhusiano wa kiuchumi zaidi." - Gabriel Mwang'onda - Mchambuzi wa Masuala ya Siasa #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant