Gachagua amkashifu Rais Ruto kwa kile anasema ni kutukana wakenya wanaopinga sera zake
0
0
16/12/24
Naibu rais aliyeng’atuliwa Rigathi Gachagua amemkashifu rais William Ruto kwa kile anasema ni kutukana wakenya wanaopinga sera zake. Rigathi anadai kulikuwa na njama ya kumtoa uhai wakati wa vurugu zilizotokea eneo la limuru siku chache zilizopita. Rigathi amesema atatoa mwelekeo wake wa kisiasa mwishoni mwa mwezi januari mwaka ujao.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par