Suivant

Gavana wa zamani Moses Lenolkulal apatikana na hatia ya kupokea shilingi milioni 83

29/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Gavana wa zamani wa kaunti ya Samburu Moses lenolkulaal leo amepatikana na hatia ya kupokea shilingi milioni 83 kwa njia ya ulaghai. lenolkulaal na wenzake 11 wanatarajiwa kuhukumiwa kesho.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant