Suivant

Gipson: Mnachofanya Clouds Mnastahili I Mnaonesha Yanayofanyika Katika Jamii na Changamoto

24/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Hakika mnastahili kuonyesha mambo makubwa anayoyafanya mheshimiwa Rais na serikali ya awamu ya sita, lakini imekuwa utamaduni wa Clouds Media kuonyesha yale yanayofanyika katika jamii, yale ambayo yana changamoto na yale ambayo yamefankiwa." Gipson George msaidizi wa Waziri wa Maji.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant