Suivant

Gladness Salema: Niliingia Kwenye Siasa Ili Nisaidie Watu Wengi I Nina Amini Nitawakilisha Vyema

09/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Kiu ya kutaka kugusa wengine na kuwahudumia ninayo na nimekuwa nikifanya kwa rasilimali zangu mwenyewe na hata kwa kushirikiana na wengine. na nilipoona nataka kufanya hivyo ndio nikaona niingie kwenye siasa ili niweze kuwasaidia wengi zaidi kwa sababu nitakuwa na uongozi na ninachanganya na siasa hivyo nitaweza kugusa jamii kubwa zaidi" - Dkt. Gladness Ladislaus Salema - Mbunge mteule wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant