Hafla ya kutuza wachezaji bora wa soka katika ligi kuu za kandanda nchini
0
0
28/07/24
Kiungo wa Gor Mahia Austin dhiambo na lydia Akoth wa kenya police bullets, walituzwa wachezaji bora wa soka katika ligi kuu za kandanda nchini upande wa wanaume na wanawake mtawalia kwenye hafla maalum ambayo ilindaliwa jana usiku na shirikisho la soka nchini FKF katika hoteli moja hapa Nairobi. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbali mbali akiwemo mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na waziri wa michezo anayeondoka Ababu Namwamba.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par