Suivant

Haja ya kumpa kipaumbele mtoto wa kiume ili wasipotelee katika maovu

24/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Uhusiano kati ya malezi duni na utelekezwaji wa kijamii wa mtoto wa kiume na ushiriki wao katika uhalifu unaowasababisha kufungwa, sasa unaibua wasiwasi. Wakati wa kutoa zawadi za krismasi katika kizuizi cha watoto cha kamiti leo, idara ya huduma za urekebishaji tabia imesisitiza haja ya dharura ya kumpa kipaumbele mtoto wa kiume ili wasipotelee katika maovu. Ikitambua kuwa wanatokomea katika maovu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant