Suivant

Hali ya utulivu imerejea jijini Nairobi baada ya wiki tatu za maandamano

04/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Hali ya utulivu imerejea jijini Nairobi baada ya wiki 3 za maandamano, hata hivyo wafanyibiashara walionekana kujipanga kwa kuajiri mabawabu kulinda biashara zao. Haya yakijiri gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amesema kuwa kaunti ya Nairobi ilikadiria hasara ya mapato, huku akijitenga na madai ya kuhusika na ufadhili wa wahalifu walioshiriki maandamano.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant