Hazina ya kitaifa yatenga shilingi bilioni 67.4 katika mpango wa nyumba za bei nafuu
0
0
14/06/24
Hazina ya kitaifa imetenga shilingi bilioni 67.4 katika mpango wa nyumba za bei nafuu na muundo msingi kwa jamii katika bajeti ya mwaka wa 2024. Katika bajeti hiyo ushuru wa nyumba utaendelea kukatwa kutoka kwa mishahara ya wakenya na wenye kupokea mapato ambao hawakuajiriwa.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par