Suivant

Hofu ya huduma za afya kwa wote

30/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Ahadi ya afya bora kwa wote kwa wakenya ipo hatarini, kwani huenda hazina ya bima ya afya ya jamii inayosubiriwa kwa hamu isianze kutumika katika muda ufaao,kutokana na mapungufu mengi ndani ya mamlaka hiyo. Kamati ya afya bungeni imefahamisha kuwa mamlaka ya afya ya jamii maaruf kama sha haina uwezo wa kuajiri wafanyakazi wake, na inategemea wafanyikazi wa bima ya taifa ya afya ya NHIF kuendelea na shughuli zake. Hili miongoni mwa masuala mengine, limesababisha kamati ya afya kuhoji iwapo muda wa utekelezaji unafaa kuongezwa zaidi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant