Hofu ya usalama Baringo na Samburu
0
0
06/03/24
Waziri wa usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki ameandaa kikao maalum na viongozi kutoka kaunti ya Samburu kujadili changamoto za usalama zinazokumba kaunti hiyo.. miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa hapa jijini Nairobi ,ni pamoja na mauaji ya watu kadhaa katika sehemu mbali mbali za samburu pamoja na wizi wa mifugo. Waziri Kindiki amesikitikia matukio hayo akiahidi kushirikiana na viongozi husika kutatua changamoto hiyo ya usalama ambayo kwa sasa ni kero kubwa katika kaunti kadhaa za bonde la ufa. .
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par