Suivant

Hoja kumng'atua Gavana Kawira Mwangaza

15/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Bunge la seneti limepinga hoja ya kuteua kamati maalum ya wanachama 11 kujadili pendekezo la kumuondoa afisini gavana wa Meru Kawira Mwangaza. Katika kikao maalum kilichoandaliwa na spika wa seneti amason kingi hii leo, suala hilo lilisababisha mgawanyiko kati ya maseneta, huku wengi wakisema kuwa mashtaka yanayomkabili mwangaza ni mazito na yanafaa kuangaziwa na bunge lote la seneti.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant