Suivant

Hoja ya kumwondoa afisini gavana Meru Kawira Mwangaza

19/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Bunge la seneti kesho asubuhi litaanza kuijadili hoja ya kumwondoa afisini gavana Meru Kawira Mwangaza, anayekabiliwa na tuhuma za ukiukaji wa katiba na matumizi mabaya ya mamlaka. Mwangaza ameandaa kikosi cha mawakili sita watakaomwakilisha katika kikao hicho. Hoja hiyo itasikilizwa na bunge lote la seneti baada ya maseneta kupinga hoja ya kuunda kamati kwa ajili ya kujadili madai hayo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant