Huduma za afya huenda zikatatizwa kufuatia madaktari kutoa ilani ya siku ya saba ya kuanza mgomo
0
0
06/03/24
Huduma za afya nchini huenda zikatatizwa wiki ijayo kufuatia madaktari kutoa ilani ya siku ya saba ya kuanza mgomo wa kitaifa wa kulalamikia ahadi hewa za serikali. Madaktari wanataka kandarasi za utendakazi zisawazishwe na pia madaktari wanagenzi waajiriwe
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par