Suivant

Jaji mkuu Martha Koome akashifu vikali kuondolewa kwa walinzi wa jaji Lawrence Mugambi.

17/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Jaji mkuu Martha Koome amekashifu vikali kuondolewa kwa walinzi wa jaji Lawrence Mugambi. Hatua ya walinzi wa mugambi kuondolewa inawadia siku mbili tu baada ya jaji huyo kumhumuku kaimu inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi sita gerezani kwa kupuuza maagizo ya mahakama. Koome amesema hatua hio ni vitisho kwa mahakama na ina hitilifiana uhuru wa mahakama.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant