Suivant

Jaji mkuu Martha Koome habanduki ng'o!

11/12/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Jaji mkuu Martha Koome habanduki ng'o! Koome haoni kwanini ajiuzulu ilhali amejitolea kuhudumia wakenya na kulinda haki. tume ya huduma za mahakama (JSC) imeunga mkono msimamo wake, ikisema kuwa hakuna ushahidi uliowasilishwa kuhusiana na madai kuwa idara ya mahakama inajali pesa kuliko haki. Wakati huohuo, msajili wa idara ya mahakama frida mokaya ameitaka serikali kutangaza ukatili wa kijinsia ,GBV, kuwa janga la kitaifa, akitaja ongezeko la kutisha la kesi zinazohusiana na dhuluma hizo. Jaji mkuu amedai kuwa yeye pia ni muaythiriwa wa dhuluma za kijinsia kupitia mifumo ya dijitali.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant