Suivant

JAMES MBATIA AFUNGUKA MENGI KUHUSU SIASA YA TANZANIA | TUSIZISHINDANISHE SERIKALI | CLOUDS 360

20/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Game la uchumi wetu kwa mtu mmoja mmoja lipo vipi kwa sasa? kwa makundi je? kama vijana na nchi kiujumla tunalimudu kwa dakika ngapi uwanjani? Lakini siasa ya uchumi wetu hivi sasa ndani na nje imekaa vipi, mwanga upo vipi mbele ya safari? ni Jumanne ya UCHUMI SCORE BOARD #Clouds360 inaweka mpira kati pamoja na mbobevu @mbatiajf kuangazia namba zinavyosoma kwenye score-board hii muhimu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant