Jamii ya Wasomali yashutumu kundi la wawakilishi wadi kwa kuwaficha wahalifu wa uvamizi wa mifugo
0
0
08/01/24
Jamii ya wasomali katika kaunti ya Isiolo wameshutumu kundi la wawakilishi wadi katika eneo hilo kwa kuwaficha wahalifu wanaohusika na uvamizi wa mifugo. Hii ni baada ya viongozi hao kutoa wito kwa waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki kuchelewesha operesheni ya usalama ya kurejesha mifugo iliyoibiwa. Viongozi hao walikuwa wameomba muda wa kuwashawishi wakazi kurudisha mifugo iliyoibiwa, hatua ambayo imepelekea kurejeshwa kwa ng'ombe 35 kufikia sasa.muriel adhiambo ana maelezo zaidi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par