Suivant

Jinsi benki ya taka Dandora inavyotumika kuhifadhi mazingira

15/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Uzoaji taka mijini umekuwa changamoto kubwa kwa muda mrefu, kufuatia mikakati duni ya serikali za kaunti na uongozi wa miji husika. Hata hivyo makundi mbali mbali ya uzoaji taka yamejitokeza na kuziba mwanya huo kwa kutoa huduma hiyo muhimu. Katika mtaa wa Dandora, kundi moja la vijana la kuzoa taka, limeweka benki ya taka ambapo wenyeji wanapeleka taka na kupewa vyakula kama unga.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant