Jinsi ushirikishwaji wa jamii katika uhifadhi wa wanyamapori unavyobadilisha mandhari
0
0
27/04/24
Hii leo katika makala ya kila Jumamosi ya sauti ya mazingira tunaangazia jinsi ushirikishwaji wa jamii katika uhifadhi wa wanyamapori unavyobadilisha mandhari kusini mwa kenya. Katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli ,wadau binafsi kwa ushirikiano na mamlaka za serikali wanalinda njia za uhamisho za wanyamapori kupitia mfumo wa upangaji ardhi wa kipekee ambao unawaruhusu wamiliki wa ardhi kuendelea na maisha yao,kwa masharti kuwa hawatauza mashamba yao, hawatashiriki kilimo wala kuweka ua ua ili kuwaruhusu wanyama pori kupita.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par